Furahia X Mass na nyama ya mbuzi

Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Makazi) Bw. Peleleja H. Masesa, akikabidhi mchele, unga, sukari, sabuni, majani ya chai, pamoja na mbuzi kwa kiongozi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Msongola Ilala Rehema Masoud, ikiwa ni zawadi ya sikukuu ya Krismas kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal aliyotowa kwa watoto wanaolelewa katika kituo hicho Msongola nje kidogo ya jiji la Dar es salaam leo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s