CUF wakutana na Rais Kikwete Ikulu

Rais Jakaya Kikwete leo amekutana na ujumbe na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) Ikulu jijini Dar es salaam na kuzungumza nao juu ya sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makama Mwenyekiti wa CUF, Machano Khamis Ali, anayesalimiana na Rais Kikwete ni Ismail Jussa

Advertisements

3 responses to “CUF wakutana na Rais Kikwete Ikulu

  1. HAKUNA ULAZIMA WAZANZIBAR KUSHIRIKISHWA KATIKA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANGANO, KATIKA KUTOA MAONI TU WANASHINDWA KUCHANGIA JEE NDIO WAWEZE KUCHANGIA KUEKWA KWA KIFUNGU CHA KATIBA. IWEJE WAZANZIBAR WASHIRIKISHWE KATIKA KATIBA MPYA MBONA KATIKA KATIBA YA SMZ HAWASHIRIKISHI BARA WAKATI ZANZIBAR NI MKOA WA TANZANIA.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s