Zanzibar washerehekea mwaka mpya wa Kiislam wa 1433 Hijria.

Waislamu Zanzibar wakisherehekea mwaka mpya wa kiislam kwa maandamano na ngamia katika maeneo ya Michenzani mjini Unguja ambapo maandamano hayo yalianzia Msikiti wa Mlandege na baadye waislamu hao walikusanyika katika viwanja vya Maisara kwa ajili ya muhadhadara maalum wa kusherekea mwaka huo wa 1433 Hijria. Tunawatakieni na kujitakia mwaka wa kheri na kujitathimini upya katika matendo yetu inshallah yawe mazuri na kuongeza ibada kuliko mwaka uliopita

Advertisements

5 responses to “Zanzibar washerehekea mwaka mpya wa Kiislam wa 1433 Hijria.

  1. Zanzibar si nchi ya kushereheka sherehe yoyote kwani ZANZIBAR ni Nchi ya kuwa na huzuni milele. Zanzibar ni nchi pekee duniani ambayo ikoloniwa ( kutawaliwa) na muafrika. ZANZIBAR NI KOLONI LA TANGANYIKA. Ombi sherehe zote zanzibar zifungwe mpaka zanzibar itakapopata UHURU. (MUUNGANO wa TANZANIA UVUNJIKE)

  2. Ewe MZANZIBAR kwa kutumia njia za mitandao kama vile FACEBOOK, marafiki, twitter, bado n’k hamasisha wazanzibari wote Kushiriki katika harakati za kudai uhuru wa zanzibar. Kwani ZANZIBAR NI KOLONI LA TANGANYIKA. zanzibar bila ya kupata UHURU haiwezi kupata maendeleo milele.

  3. HIVI WAZANZIBAR HAMUONI AIBU KILA SIKU MUNAJADILIWA NA KULAANIWA BUNGENI mara zanzibar si nchi mara wazanzibari wasishiki katika katiba mpya, bado kuitwa wazanzibari wote wanafirwa. BADO MUNANG’ANG’ANIA MUUNGANO. HAKIKA MUUNGANO UNAMANUFAA KWA VIONGOZI WA ZANZIBAR.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s