Wazanzibari hawautaki Muungano

Hawa ni wanafunzi wa skuli za Zanzibar ambao ni miongoni mwa vijana wanaoinukia katika elimu wanasoma wanafahamu mambo mbali mbali ya kilimwengu, ikiwemo siasa ya nchi yao. Ndio hawa basi ambao kesho na kesho kutwa wanakuja kuwa viongozi wa nchi hii jee ikiwa wazazi wao hajawaamulia mustakabali wa nchi yao na maslahi yao mazuri kisaisa kisiasa wataweza kuishi kwa usalama?

Na Khalid Mtwangi

Hakika ni ajabu kuwa baada ya miaka arobaini na saba ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo wanajitokeza vijana huko Zanzibar ambao wanaukataa huu Muungano. Kama kungetokea wazee ndio wamekuwa na rai hiyo labda kungekuwa na mantiki kuwa hao wanaukumbuka Uzanzibari wao ule ambao si sawa na ulivyo leo.

Hawa vijana wanachojua ni Muungano tu na Zanzibar huru kwao ni historia; ubaya wake na uzuri wake hawakuuona. Wanayoyajua ni ya kuhadithiwa tu ambayo yanaweza kuwa na chumvi nyingi ama yameungwa pilipili kichaa kali sana kiasi kwamba kama kingekuwa ni chakula basi wangekitema. Lakini sivyo ilivyo. Wasomaji watakumbuka wakati fulani hata waziri mmoja wa Zanzibar alitamka kuwa ingawa yeye kazaliwa na kukulia katika Muungano alikuwa na maoni yake binafsi ambayo hayakupendelea huo Muungano, ingawa aliongeza kuwa hasa katika mfumo uliopo sasa.

Watanganyika na Wazanzibari wamekuwa na uhusiano wa siku nyingi sana kiasi kwamba kuna watu wa Kigoma na hata wa Songea, ikiwa mifano mizuri, ambao wana ndugu zao ama Pemba au Unguja. Imekuwa ni jambo la kawaida walio na hali nzuri kuwa na nyumba Kisangani Kigoma na Zanzibar, na hizo ni nyumba kamili zikiwa na familia. Huko ni mbali hivyo ikifikiriwa pwani ya Tanganyika basi uhusiano kama huo ndio kabisa upo. Kwa sababu hizo ulipotangazwa Muungano wa nchi hizi mbili kuna watu wengi walioona kuwa hilo ni jambo la busara, hao walikuwa wengi wa Bara. Inafahamika sasa kuwa wananchi wa Zanzibar tangu hapo walikuwa na mawazo tofauti.

Linaloweza kusikitisha zaidi miongoni mwa wa-Zanzibari ni kule kufahamika sasa kuwa kwanza Muungano wenyewe haukuhalalishwa na vyombo vinavyohusika kule Zanzibar. Profesa Pir Issa Shivji ameliandikia sana somo hilo kwa marefu na mapana. Hivi sasa kumetokea maandiko mengine ya Al Marhum Sheikh Muhsin Baruwani na kingine kitabu kilichotolewa hivi karibuni “KWAHERI UKOLONI, KWAHERI UHURU”,kilichoandikwa na Dkt Harith Ghassany, huyu ni mzaliwa wa Zanzibar. Yeye kapata udaktari wake Chuo Kikuu cha Havard huko Marekani. Kutokana na utafiti aliopitia ili kupata yale aliyoandika ni wazi kuwa yale mapinduzi yanayosemekana kuondoa utawala wa Sultani ulikuwa ni kitu kingine kabisa. Hazikuwa njama za wananchi wa Zanzibar za kutaka kuleta mapinduzi yale na kuwa na utawala kama ule uliotawazwa (?) baada ya hayo yaliyoitwa mapinduzi.

Haya ni kutokana na maelezo ya baadhi ya wale waliokuwa jikoni kuyatayarisha na kuyapika mapinduzi yale. Jina ambalo linajitokeza sana ni lile la Hayati Mzee Victor Mkello. Huyu alikuwa ni kiongozi shupavu wa wafanya kazi katika mashamba ya mkonge huko Tanga na alikuwemo pia mstari wa mbele katika kupigania uhuru chini ya uongozi wa TANU. Maelezo yake ya mapinduzi ya Zanzibar hayafai kubezwa, labda mpaka pale atakapotokea mtafiti mwingine atakayetoa maelezo ama hadithi mbadala.

Imetajwa huko nyuma kuwa katika kitabu alichoandika Al Marhum Sheikh Muhsin Barwani kuna maelezo juu ya hayo yanayoitwa mapinduzi. Maelezo hayo yanakingana na yale yanayofahamika na watu wengi kuwa ni wananchi wa Zanzibar wenyewe ndio waliotaka kuung’oa utawala wa Sultani. Baada ya kitabu hicho kutoka na kusomwa na watu wengi Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliombwa ajibu shutuma dhidi yake zilizomo katika kitabu hicho.

Mpaka kafariki hakutaka ama hakuweza kuzijibu shutuma zile. Bila shaka hayo yote yanafahamika miongoni mwa wa-Zanzibari wengi, wale wa jana na wale wa leo. Inawezekana kabisa kuwa hiyo ni sababu moja inayowafanya wa-Zanzibari, vijana kwa wazee, wasiukubali huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Inawezekana kabisa kuwa kuna sababu zingine pia zinazowafanya wa-Zanzibari wachoke na Muungano. Kwa mfano wamekuwa wanalalamika sana kuwa uchumi wao umeathirika sana kutokana na Muungano. Huko nyuma kulikuwa na malalamiko kuwa Banki Kuu ya Tanzania kwa mfano ilkuwa ikichukua maamuzi mazito kuhusu sarafu (shilingi) bila hata kuwaatarifu Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Kuna wakati Zanzibar, ikiwa chini ya Rais Dr Salmin “Commando” Amour, nchi hiyo ilikuwa na biashara kubwa sana ya kimataifa, kiasi kwamba wafanya biashara kutoka sehemu nyingi za Afrika ya Mashariki na ya Kati walikuwa wakifurika Zanzibar kupata mahitaji yao. Zanzibar ilivuma kweli kweli; lakini inasemekana kuwa Serekali ya Muungano (Bara) iliingilia kati na msimu huo ulikatishwa ghafla. Hapa sio kudai kuwa Serekali ya Muungano ilifanya kusudi ama kosa, la; bila shaka walitumia sheria zilizopo zilizowaruhusu kuvunja nguvu hiyo iliyoipata Zanzibar ghafla tu.

Kumekuwa na malalamiko halikadhalika kuwa maamuzi mazito kuhusu Zanzibar yanapitishwa Dodoma badala ya wananchi wenyewe wa Zanzibar kuyashughulikia na kutoa maamuzi yenye manufaa kwao. Mfano mzuri ni ule wa “kuchafuka hali ya hewa” kiasi kwamba Rais aliyechaguliwa na watu wa Zanzibar aliweza kutakiwa “kujiuzulu” akiwa Dodoma na sio Zanzibar kule alikochaguliwa na wananchi. Kweli kunaweza kuwa na kipengele cha kisheria kilichowezesha hatua hiyo kupitishwa Dodoma na sio Zanzibar, likini kuwepo na sheria kama hiyo pia kunaweza kuwa ni sababu ya malalamiko. Ni vigumu kuzungumzia mambo ya uchumi wa Zanzibar bila kutaja sakata la mafuta yanayosemekana yako chini ya bahari ya Zanzibar.

Bahati mbaya sana kuwa wakati wa-Zanzibari na Serekali ya Mapinduzi wameweza kutoa mawazo na sera zao kinagaubaga mpaka sasa Serekali ya Muungano haijatoa matamshi ya wazi wazi kuhusu suala hilo nyeti. Hili haliwaridhishi wa-Zanzibari.

Hakika yako mengi mengine mojawapo likiwa dhana ya kuwa wa-Bara mara nyingi huonyesha dharau kwa ndugu zao wa Zanzibari hasa katika yale ya kiserekali ama ya kiofisi. Mwandishi huyu huko nyuma amewahi kushuhudia hisia za namna hiyo pale wa-Bara wanapozungumzia taarifa zinazowahusu “kina yakhe” maofisa wa Zanzibar. Haya yanafahamika wazi na wa-Zanzibari wenyewe; lakini kama hilo si zito sana kiasi cha kuathiri Muungano ni shauri lingine.

Ukweli pia kwamba kwa sababu ya Muungano ulivyoanzishwa, Zanzibar ilipoteza kwa kiasi kikubwa ule utamaduni wao wa ki-Zanzibari. Ingawa kweli Serekali ya Mapinduzi imekuwa ikijiita ya kisekula isisahaulike pia kuwa wananchi wa nchi hiyo wengi wao ni Waislamu. Yuko ndugu yangu mmoja, bahati mbaya sasa ni Al Marhum, alikuwa na pendekezo kuwa bora Muungano ufe ili Zanzibar irudi kuwa nchi ya Kiislamu. Muungano umewezesha Ukristo kuingia Zanzibar kwa nguvu sana.

Wasomaji wajaribu kutafakari maandishi ya Bwana Ibrahim Mohammed Hussein makala zake zikitokea lkatika gazeti hili. Pia yale maoni ya mwandishi wa siku nyingi Bwana Ahmed Rajab anayoyatoa takriban kila wiki katika gazeti la RAIA MWEMA yatiwe maanani. Ila mimi ningetahadharisha jambo moja tu ambalo ni la maana na muhimu sana. Hivi sasa nchi nyingi sana duniani zinajaribu kutafuta umoja ama muungano. Udugu walio nao waTanganyika na wa Zanzibari ni wa siku nyingi sana.

Pande zote za Muungano wa Tanzania wakumbuke kuwa UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU. Hasa miongoni mwa wanandugu.

Advertisements

19 responses to “Wazanzibari hawautaki Muungano

 1. Lakini kwa muungano wa Tanganyika ni kinyume,
  Yani:
  Umoja ni udhaifu kwa zanzibar
  Na utengamano ni Nguvu pia kwa Zanzibar yetu.
  Tumechoka,tumechoka tumechoka.lol !!!

 2. Wazanzibari washasema waziwazi muungano hautakiwi. Mbona hamufahamu kiswahili au munasubiri wachoke kudai haki yao.

 3. Udugu wetu na Tanganyika haukuwa udugu wa karibu kuliko ilivyokuwa Zanzibar na Kenya,hata kama ndugu zetu wengine baadhi ya wavyazi wao nikiwamo mimi,wamehusu Tanganyika lakini isiwe sababu ya kuiponza nchi nzima kwa ajili ya udugu usiokuwa na faida kwa raia wengi wa Zanzibar.Waliowengi zanzibar hawana udugu na bara na ndio maana jeshi la bara linapokuja zanzibar linafanya vurugu la kila aina,licha ya kuuwa,wanawavamia wanawake na wanaume bila yakujali lolote(maana ya uvamizi hapa ina maana ya ubakaji nachelea kutumia lugha ambazo haziko katika maadili yetu).
  Hata hapo yalipofanyika mapinduzi,na baada ya mapinduzi kufanikiwa ambayo kwa kweli hayakupata upinzani wowote waliuwa watu wasiokuwa na hatia kwa maelfu bila ya kuwa na hisia zozote za kiudugu.Hawa si ndugu zetu ni maadui zetu,wala hawatutakii mema.Mifano yote wanayotuonesha ni mifano ya kiadui tu.
  Hivi sasa zanzibar imeona baadhi ya sehemu katika mafuta wanatuzuia kuyachimba!na wao wanajuwa wazi kuwa uchumi wetu ni m’baya kupita kiasi karibu nusu ya raia wa zanzibar wamekuwa wakimbizi,kutokana na hali ya uchumi na kisiasa.Iko wapi ishara ya udugu.
  Sisi tukiwa ni watu wa visiwani ambao tumeyaona madhara ya uvamizi huu,tunawaomba viongozi wetu waitishe kura ya maoni ili tujue uhakika wa udugu huu na maslahi ya udugu huu,ambao umedumu kwa miaka 47 bila ya maslahi yoyote katika nchi yetu.
  Suala la serikali tatu lilitakiwa zamani na viongozi wa zanzibar akiwemo waziri kiongozi wa mwanzo zama za Mh Aboud Jumbe na wakamuona Mh Ramadhani Haji kama silikosei jina lake kama kapungukiwa na akili.
  Waswahili wanasema ukikataa ya Musa utapata ya Firauni kama wamekataa serikali tatu sasa itabidi kila mtu abakie kwake na hao wazanzibara wana uamuzi wao ikiwa watabakia huko nikhiari zao muhimu tumewaachia watoto wetu dola ya zanzibar huru.

 4. TATIZO CC WZNZ TUNAWAPENDA SANA NDUGU ZETU LKN WAO WAPO KWA LENGO LA KUNUFAIKA NA ZNZ YETU HII CIO HAKI WAO WANA RASILIMALI ZAO NA CC TUNA ZETU IWEJE TUINGILIANE KWENYE MAMBO YA KIUCHUMI?

 5. hahaha! Muandishi kifungio cha habari yako tu sijakipenda, jee hujui kuwa huu si wakati wa karume na nyerere, kama unalivyo nena kuwa vijana wamechoka na hawataki muungano huu wa dhulma, umoja wa Wazanzibari wote duniani ni nguvu na utenganano na Watanganyika ni ushindi.

 6. Forced Marriages are Things of The Past
  Divorce and Freedom 4 us a Must
  Simply speaking we want 2B Free
  And That is The way we Want 2 B

 7. Hakuna mzanzibari mwenye uwezo wa kuzungumzia suala la muungano wa TANGANYIKA NA ZANZIBAR. Hakika ZANZIBAR ni KOLONI la TANGANYIKA. Wazanzibari wote ni wake zetu tunawafanya tunavyotaka. Hilo baraza la wakilishi lenu halina maamuzi mbele ya BUNGE LA TANZANIA. Hicho kificho kinachoanza kujifichua kimeingia CUF sasa kinajidai kusema asubiri mda mfupi atapata jawabu. Na aulize yaliyomfika KARUME 1972.

 8. HAKIKA BARAZA LA WAWAKILISHI NI JUMBA LA VICHAA. Hawana cha KUZUNGUMZA wanajadili ati nawao wawemo katika KATIBA MPYA Ya TANZANIA. Kimya wanawake hawanakauli subirini sisi wanaume bara tujadili halafu ndio mkoa wa ZANZIBAR. Zanzibar si nchi.

  • Shika adabu yako kuku weee haunachuongea mpka ututukane lkn hapa uméfika utatulia km mbwa koko.na ww ni mbwa koko unabweka ukiwa kwenu lkn ukitoka kwenu hauna mdomo wakuongea.ww punda unasema zanzibar sio nchi ni mvutu lakooo kengeee mmoja ww waharamu.are facken pucc.na huu muungano monao utegemea utaondoka tu kwa uwezo

 9. Wewewewewewe zombe skia sio unaogea pumba tu anagalia tutakuhariburibu fast facken pucc unajua zanzibar imepatikana vp ww msenge kama unajifanya mwingi ss wingi zaidi yako fala ww .km ww umetumwa ujekututukana wambie hao mavampers wenzako kuwa zanzibar muungano hatuutaki na mukitakujua kuhusu hili tuzingieni.hapa lazima kieleweke
  new zanzibar we don’t afraid anyone in the world .nakumaind vibaya sanaaaa facken down.huu mwazo tu hata bado

 10. Ni Mama mama mama mama mama mama mama yake na baba yako ndo wenye uwezo wakuongea suala la muungano msheenz ww kuku. ilikua unyamaze kimya mambo ya wazanzibar hayakuhusu hata kidogo mkundu ww aopunda wenzako hawana la kusema uje sema ww kikaragoc ngurue ww.mushazoea kwenda kanisan kutiana vidole na kufirana.ww na familia yako ni makahaba wa kinyamwezi munakanyagwa na WAZANZIBAR.ww na familia yako tutawatia asali ya mkundu tuwanyonye kwa sanaaaaaaa halafu tutawafira wasenge waki vampars .kamwite huyo mama yako aongeee kuhusu muungano bac kimya tutakufanya kitu mbayaaaa usisahuuu katika maisha yako yoteeee.muungano ni ww na familia yako mwambie mama na baba yako vp umeungana na mama atakujibu na.wabongo wote ni makahaba wa WAZANZIBAR.ww humjui baba yake wala mama yako.na km hujawahi kufirwa na una hamu bac endelea hivyo hivyo hivyo hivyo utaonakitakachokufika .WAZANZIBAR TUKIJICKIA TU KWA WABONGO TUNASHUSHA.ANGALIA SANA bwamu dogo utaumia.hapa umeingia ktk himaya never salendar.
  Ukianza namaliza
  katiba sio msahafu.
  Ww ni punda tu mbele ya WAZANZIBAR.nyinyi wachumba tu na mtaendele kuwa mademu zetuuuu na kutaka ww na familia yako muungane bac WAZANZIBAR tutachukua visiwa vyetuu hakuna mbwa wowote wakusema tusichue visiwa vyetuu na hatokeii km mweee.
  @ZANZIBAR WE TOGETHER@weweweweweweweweweweweweweeeeeee chunga sanaaaaaa%

 11. HARAKATI ZA KUDAI UHURU WA ZANZIBAR 2012. Ewe kijana elewa Rais wa mwanzo wa zanzibar sheikh ABEID. A .KARUME aliuawa 1972 kwa kutaka kuuvunja muungano. OMBI NI BORA TUFE WAZANZIBARI WOTE LAKINI TUPATE UHURU.

 12. EWE MZANZIBAR SHIRIKI KATIKA HARAKATI ZA KUDAI UHURU WA ZANZIBAR 2012. Ewe kijana elewa Rais wa mwanzo wa zanzibar sheikh ABEID. A .KARUME aliuawa 1972 kwa kutaka kuuvunja muungano. OMBI NI BORA TUFE WAZANZIBARI WOTE LAKINI TUPATE UHURU.

 13. HAKIKA WALE WAZANZIBAR WANAOKAA WAKAJIDANGANYA KUWA MUUNGANO UVUNJIKE NA ZANZIBAR NI NCHI WOTE NI VICHAA. Elewa tokea lini mke akatoa talaka- maana yake haiwezekani wazanzibar kujitenga Kani zanzibar si nchi. mumeshindwa kuandamana mukaweze kuvunja muungano ingini barabarani MUONE CHA MOTO. Musijidanganye munanchi. Nchi ni TANZANIA na zanzibar ni mkoa wa TANZANIA na anayejiita rais wa ZANZIBAR ni waziri asiekua na wizara maalum TANZANIA ameapa bungeni hivyo, waziri asiyekua na wizara maalum hawezi kua rais na wawakilishi wa zanzibar wote ni mawaziri vivuli wa TANZANIA. Zanzibar ni koloni la TANGANYIKA.

 14. WE TIRED ZANZIBAR, WE DON’T NEED UNION. WE NEED OUR COUNTRY, WE DON’T NEED NO MORE TROUBLE. THIS TIME WE SAY THAT, WE ARE READY FOR EVERYTHING, WE ARE READY TO DIED, BUT ZANZIBAR MUST BE FREEDOM. NCHI IMECHOKA, WATU WAKE WAMECHOKA, HAIJULIKANI KAMA ZNZ AU SOMALIA, BORA HATA SOMALIA KULIKO ZANZIBAR. KWELI HAWA VIONGOZI WA ZNZ HAWAJAWAHI KWENDA KWENYE NCHI ZA WATU WAKAONA WATU WANAVYOISHI? AU KITU GANI KINACHOWAFANYA HATA KUSHINDWA KUITENGENEZA ZNZ. KIJINCHI KIDOGO, KINA RASILIMALI TELE, KWELI KINASHINDA KUTENGEZWA? JAMANI ACHENI HIZO, IBENI SANA PESA ZETU LAKINI NA NCHI ITENGENEZENI. UTASIKIA RAIS ANASIMAMA MBELE YA UMATI WA WATU ANAJISIFU ZNZ IMEPIGA HATUA MBELE KIMAENDELEO. UKIMULIZA YAPO WAPI HAYO MAENDELEO ATAKUJIBU TUMEFUNGUA SHULE, TUMEJENGA BARABARA, TUMEFUNGUA MRADI WA MAJI N.K UKIENDA KUVIANGALIA HIVYO VILIVYOTAJWA NI MAHANASA MATUPU. SHULE YALE MABANDA YA NGOMBE ETI NDIO SHULE, BARABARA ZINATIWA VIRAKA, NA HIZO MPYA HAZINA VIWANGO MAANA UKIENDESHA GARI HUWA HAITULII UTADHANI UNATETEMEKA, MAJI NDIO USISEME, BALAA TUPU. AHAAAAA, NASIKITIKA NIKIONA NCHI ZA WENZETU WANAVYOISHI, HATA UTAONA AIBU KUSEMA MBELE ZA WATU, ‘I AM FROM ZANZIBAR’ LAKINI NATAKA KUKWAMBIENI WANZANZIBAR WENZANGU MSIWE NA TAMAA KAMA KUNA SIKU ZNZ ITAKUWA KAMA MTONIII (EUROPE) NEVER AND EVER, TUTABAKIA NA FITNA ZETU, MAJUNGU YETU, ROHO MBAYA ZETU. HILO NDIO MTAJI WA ZNZ. NCHI ZOTE DUNIANI ZINAJENGA NCHI ZAO KWA FAIDA YA WATU WAO. ZNZ KILA MTU NA FAMILY YAKE, UKISHA MPA KURA YAK YEYE NA JAMAA ZAKE AKAKUJENGEE NCHI WEWE KWA KIPI KIKUBWA ULICHOMFANYIA/ HIYO KURA YAKO? NA USIENDE KUMPIGIA NEXT ELECTION TUONE. NAPENDA KUWAMBIA WAZANZIBAR WENZANGU SISI TUMEOLEWA NA T. BARA. TENA NI WANAUME ZETU WALE. TUTAKE TUSITAKE. WALE NI MABWANA ZETU TU. KILICHOBAKIA WANAKIJUWA WAO. KWA KUMALIZIA TUNASUBIRI MPAKA MWAKA 2013 IKIWA ZNZ ITABAKI KUDIDIMIA BASI BORA TUIKOSE SOTENA HAPATOKALIKA TENA ITAKUWA KAMA SOMALI. BORA SOTE TUKOSE SIO WACHACHE WAJINUFAISHE WA PESA ZETU NA SISI TUFE NJAA, SASA TUNATAKA KUFANYA SOTE TUWE NA NJAA NA TUNAWEZA NA NIA TUNAYO NA NGUVU TUNAZO NA ZANA ZIPO IMARA TENA ZA KILEO SIO ZANZ MLIZOIBA UGANDA KWENYE VITA YVA AMINI. TUNA ZANA ZA KILEO. LAZIMA ZNZ UWE UWANJA WA MAPAMBANO. IKIWA HAMUWEZI KUIJENGA ZNZ BORA NA SISI TUIMALIZE KABISA. NA TTAIMALIZE. VIJANA NA WAZEE WAPO TAYARI KWA HILO.

 15. WE TIRED ZANZIBAR, WE DON’T NEED UNION. WE NEED OUR COUNTRY, WE DON’T NEED NO MORE TROUBLE. THIS TIME WE SAY THAT, WE ARE READY FOR EVERYTHING, WE ARE READY TO DIED, BUT ZANZIBAR MUST BE FREEDOM. NCHI IMECHOKA, WATU WAKE WAMECHOKA, HAIJULIKANI KAMA ZNZ AU SOMALIA, BORA HATA SOMALIA KULIKO ZANZIBAR. KWELI HAWA VIONGOZI WA ZNZ HAWAJAWAHI KWENDA KWENYE NCHI ZA WATU WAKAONA WATU WANAVYOISHI? AU KITU GANI KINACHOWAFANYA HATA KUSHINDWA KUITENGENEZA ZNZ. KIJINCHI KIDOGO, KINA RASILIMALI TELE, KWELI KINASHINDA KUTENGEZWA? JAMANI ACHENI HIZO, IBENI SANA PESA ZETU LAKINI NA NCHI ITENGENEZENI. UTASIKIA RAIS ANASIMAMA MBELE YA UMATI WA WATU ANAJISIFU ZNZ IMEPIGA HATUA MBELE KIMAENDELEO. UKIMULIZA YAPO WAPI HAYO MAENDELEO ATAKUJIBU TUMEFUNGUA SHULE, TUMEJENGA BARABARA, TUMEFUNGUA MRADI WA MAJI N.K UKIENDA KUVIANGALIA HIVYO VILIVYOTAJWA NI MAHANASA MATUPU. SHULE YALE MABANDA YA NGOMBE ETI NDIO SHULE, BARABARA ZINATIWA VIRAKA, NA HIZO MPYA HAZINA VIWANGO MAANA UKIENDESHA GARI HUWA HAITULII UTADHANI UNATETEMEKA, MAJI NDIO USISEME, BALAA TUPU. AHAAAAA, NASIKITIKA NIKIONA NCHI ZA WENZETU WANAVYOISHI, HATA UTAONA AIBU KUSEMA MBELE ZA WATU, ‘I AM FROM ZANZIBAR’ LAKINI NATAKA KUKWAMBIENI WANZANZIBAR WENZANGU MSIWE NA TAMAA KAMA KUNA SIKU ZNZ ITAKUWA KAMA MTONIII (EUROPE) NEVER AND EVER, TUTABAKIA NA FITNA ZETU, MAJUNGU YETU, ROHO MBAYA ZETU. HILO NDIO MTAJI WA ZNZ. NCHI ZOTE DUNIANI ZINAJENGA NCHI ZAO KWA FAIDA YA WATU WAO. ZNZ KILA MTU NA FAMILY YAKE, UKISHA MPA KURA YAK YEYE NA JAMAA ZAKE AKAKUJENGEE NCHI WEWE KWA KIPI KIKUBWA ULICHOMFANYIA/ HIYO KURA YAKO? NA USIENDE KUMPIGIA NEXT ELECTION TUONE. NAPENDA KUWAMBIA WAZANZIBAR WENZANGU SISI TUMEOLEWA NA T. BARA. TENA NI WANAUME ZETU WALE. TUTAKE TUSITAKE. WALE NI MABWANA ZETU TU. KILICHOBAKIA WANAKIJUWA WAO. KWA KUMALIZIA TUNASUBIRI MPAKA MWAKA 2013 IKIWA ZNZ ITABAKI KUDIDIMIA BASI BORA TUIKOSE SOTENA HAPATOKALIKA TENA ITAKUWA KAMA SOMALI. BORA SOTE TUKOSE SIO WACHACHE WAJINUFAISHE WA PESA ZETU NA SISI TUFE NJAA, SASA TUNATAKA KUFANYA SOTE TUWE NA NJAA NA TUNAWEZA NA NIA TUNAYO NA NGUVU TUNAZO NA ZANA ZIPO IMARA TENA ZA KILEO SIO ZANZ MLIZOIBA UGANDA KWENYE VITA YVA AMINI. TUNA ZANA ZA KILEO. LAZIMA ZNZ UWE UWANJA WA MAPAMBANO. IKIWA HAMUWEZI KUIJENGA ZNZ BORA NA SISI TUIMALIZE KABISA. NA TuTAIMALIZE. VIJANA NA WAZEE WAPO TAYARI KWA HILO.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s