Hivi ndio vitu vyetu vya asili

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akipeana mikono na Mke wa Prince Charles Mtoto wa malkia wa Uingereza Camela kama ishara ya kumkaribisha huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.(08/11/2011).

Advertisements

One response to “Hivi ndio vitu vyetu vya asili

  1. Bila shaka sio sahihi, kwa kweli hapa ndio kwa jinsi gani tumetawaliwa mpaka tunasahau asili yetu, hii si asili ya Zanzibar wala mwambao wa Africa mashariki isipokuwa tumejengewa infriority complex kiasi kwamba tunaona kuwa hata ustaarabu wetu kwamba hauna maana. Wakati tumestaarabika kabla ulaya haijastaarabika.
    Mfano tumekuwa tukimiliki TV wazanzibari tokea 1972, while Tanganyika 1994, see difference .

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s