Ahsanteni kwa dua zenu

Baada ya kulazwa hospitali kwa wiki mbili nilikokuwa nimefanyiwa operesheni hapa Bonn, Ujerumani, hatimaye nimepatiwa ruhusa ya kurudi nyumbani. Namshukuru Allah naendelea vyema si haba, na nawashukuru wale wote walioniombea nipate afya yangu kwa haraka.

Advertisements

9 responses to “Ahsanteni kwa dua zenu

  1. tunashukuru mzima pamoja nasisi ila tulimiss taarifa nyingi mungu atupe maisha yalio jaa kheri nyingi na uzima.ameen

  2. tumakupa pole sana da Salma,InshaAllah M/Mungu atakupa uzima na afya njema,Urejee katika shughuli zako kama kawaida

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s