Sala ya Eid yasaliwa Maisara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk Ali Mohammed Shein,(watatu kulia) akijumuika na Viongozi wengine katika Sala ya Idd el Fitri ilyosaliwaa kitaifa katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar, Sheikh Khamis Haji, Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar akiongoza sala hiyo. Hii ni mara ya kwanza kwa sala ya Eid kusaliwa uwanjani kawaida siku kama ya leo waumini hujumuika na kusali katika msikiti wa Mwembeshauri. Lakini mara hii serikali imetangaza kusaliwa uwanjani ili kujenga umoja na mshimamano miongoni mwa wazanzibari

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s