Baa ya Gymkhana iliyochomwa moto jana jioni

Bar ya Gymkhana, maarufu kwa Kimti ilivyochomwa moto na watu wasiojulikana jana. Lakini ungozi wa Bar hiyo umo katika juhudi za kujenga paa mpya ndani ya siku nne ili kuwahi sherehe za siku kuu za Eid- Idd inayotazamiwa kuanza jumatatu au Jumanne, kutegemea na mwandamo wa mwezi.

Advertisements

One response to “Baa ya Gymkhana iliyochomwa moto jana jioni

  1. Panapotokea kitu, basi ujue kunakitu! nibora uchunguzi wa kina ufanyike mapema iwezekanavyo. poleni sana gymkana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s