Nakwenda kupika futari sasa

Mama ambaye jina lake halijapatikana amebeba mzigo wa kuni akielekea nyumbani kwake wanawake wengi wamekuwa wakihangaikia kutafuta kuni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ambapo tayari serikali imepiga marufuku ukataji wa miti ovyo kwa kuwa ni moja ya uharibifu wa mazingira

Advertisements

One response to “Nakwenda kupika futari sasa

  1. ASALAM ALAYKUM!

    Mpaka lini watu watakuwa wanategemea Makozi, Kuni, Makaa n.k kwa nishati wakati kuna tuna Jua, Upepo? Hapa ni lazima viongozi wakae watafakar juu ya namna ya kuwasaidia wananchi kuachana na nishati ambazo kwa mudqa mrefu unapozitumia huleta athari kiafya.

    Mzeeshari

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s