ushindi wetu

Nahodha wa timu mchanganyiko wa mabenki Zanzibar, Abdul Mshangama akionyesha kombe baada ya kukabidhiwa na mgei rasmi, mwaklishi wa viti maalumu wanawake, Mgeni Hassan Juma (kushoto) baada ya timu hiyo kuichabanga timu ya Wajumbe wa Baraza la awakilishi kwa penati 6-5 baada ya kutoka sare ya 2-2 katika muda wa kawaida.Mchezo huo ulifanyika kwenye uwanja wa Mao Tse Tung mjini Zanzibar jana na uhudhuriwa a Makamu wa Pili a Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s