umeniona nikipiga mpira?

Makamuw a Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akisalimiana na mwakilishi wa Jimbo la Mkwajuni (CCM) Mbarouk Mussa Mtando wakati wa pambano la mpira wa miguu kati ya timu mchanganyiko ya benki na timu ya wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar kwenye uwanja wa Mao Tse Tung mjini Zanzibar jana.Wawakilishi walilala kwa penati 6-5 baada ya kutoka 2-2 katika muda wa kawaida.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s