mwanahalisi inafanya kazi nzuri

Mhariri wa Gazeti la Mwanahalisi, Jabir Idrissa akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mahusiano wa Kampuni ya Serengeti Breweries, Teddy Mapunda katika mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambapo jumla ya wahariri 80 wameshiriki katika mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Kibo Palace iliyopo Arusha ambapo mada kuu katika mkutano huo ni ‘Responsible Journalism’.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s