washiriki wa mkutano wa wahariri kuzungumzia wajibu wao katika ujenzi wa taifa. wahariri walijadili mada mbali mbali ikiwemo rushwa, nidhamu, matumizi ya lugha, mahusiano na changamamoto katika uandishi wa habari pamoja na nafasi ya vyombo vya habari katika kutatua changamoto zinazolikabili taifa ikiwemo umuhimu wa kuseti agenda, Khadija Kombo na Mchanga Haroub kutoka Pemba ni miongoni mwa washiriki wa mkutano huo ambao umedhaminiwa na Kampuni ya Serengeti Breweries

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s