Tamasha la Oman leo

Tamasha la utamaduni wa Oman linaanza kufanyika leo Zanzibar katika ukumbi wa Ngome Kongwe na Bait el Ajaib Mji Mkongwe wa Zanzibar ambapo maonesho mbali mbali yataoneshwa ikiwa pamoja na kuonesha kazi na utamaduni wa nchi hiyo ambapo washiriki watakaofika katika maonesho hayo watapatiwa halua itakayosongwa hapo hapo na wanaume watapatiwa kofia za kioman na wanawake watachorwa hina kwa nakshi za kioman

Advertisements

One response to “Tamasha la Oman leo

  1. Saalam Bi Salma

    Tunaomba mutuandikie maelezo zaidi na kama kuna picha za Maonyesho hayo, ngoma nk tunaomba utuwekee hapa kwenye Mtandao wako. Hii Ni siku nzuri sana yakuwa na Tamasha la Oman ambalo kama uliviosema utamaduni wake hauna tofauti na huu wa Nyumbani.

    Kila Mara tuna matamasha ya Kibara na yakizungu tu ambayo hayaendani sana na culture zetu za kiislamu , hii ni moja ya matunda ya maaendeleo ya Amani na Utulivu tulionao Zanzibar. Mungu Ibariki zanzibar na watu wake. Amin.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s