Nchi ndani ya kanda


ZNZ, JMT NA EAC: NCHI NDANI YA KANDA
ISIYOKUWA NA UWAKILISHI

Historia 1

Afrika Mashariki kabla Ukoloni
– makabila na watu
– misingi ya awali ilitandikwa
– dhana ya ushirikiano ilianzishwa
– ukoloni ukapata wepesi
– ukoloni wa Kiingereza ukarahisisha

Historia 2

– 1900 Mombasa kuwa kuihudumia Uganda
– Bodi ya Sarafu – Kenya na Uganda
– 1917 Muungano wa Forodha Kenya Uganda
1922 Tanganyika
– 1948 kuanzishwa kwa High Commissions
– 1961 Common Services Organization
P&Telecom, Railways& Harbours, Airways,
Aviation Services and EA Dev Bank

Jumuia ya Kwanza

• Uhuru ulisaidia
• – haja ya uchumi imara
• – nguvu ya pamoja
• – dhana ya umoja uzalendo wa Kiafrika
• – hamu ya ukombozi mtu mmoja mmoja

Kwa nini Jumuia ilivunjika

• Tofauti za kiitikadi
• . Migongano ya viongozi
• . Malalamiko ya mgawano wa taasisi
• . Uchumi na vyanzo visivyolingana
• . Kupungua kwa nia ya kisiasa
• . Ushawishi wa kigeni
• Nabudere: economic crisis and balance of payment problem

Hasara za Kuvunjika

– Ajira
– Kuvunjika kwa taasisi za Common Serivces
– Kuzuilika kwa watu kusafiri na kuingiliana
– Hasama na ugomvi baina ya nchi
– Ushindani usio na maana baina ya nchi
– Kuchimbana kisiasa
– Kukosa imani na kutiliana shaka hata mtu na mtu

EAC Mpya: Misingi mipya? 1

• Med. Agr. for the Division of Assets. 1984
• . Permn. Trip. Comm. on EA Corpor. 1993
• . Mkataba Novemba 30, 1999
• . Ulianza kazi July 7, 2000
• .EAC ilizinduliwa January 2001

Misingi Mipya? 2

• Mikataba kadhaa:
• 1. Foreign Policy Coordination
• 2. Zero Tariff rates
• 3. Non tariff barriers
• 4. Mechanism to deal with terrorism
• 5. East African Passport

Sura ya Mkakati

Kuondoa vikwazo vya kodi

• . Kurahisisha usafirishaji baina nchi
• . Umoja wa Forodha
• . Soko la Pamoja: watu, kazi, rasilmali, mtaji, makaazi, huduma
• . Sarafu Moja
• . Umoja wa Kisiasa

Maeneo ya Ushirikiano

• Ni msingi wa ushirikiano
• . Yanahusu nchi zote bila ubaguzi
• . Maamuzi yatimizwe na wanachama
• . Vipengele vya kinga Article 26 –financial,
• Art. 48 economy, Art 49 Imbalances

EAC: Fikra mpya?

• Misuko suko mikubwa ya kiuchumi
• . Changamoto ndani ya nchi moja moja
• . Nia ya kweli ya kushirikiana
• . Ukomavu wa kisiasa
• . Matakwa ya uchumi wa kisasa
• . Mapenzi ya wananchi kuwa na umoja

Mafanikio : Wigo wa mashirikiano

EAC imekuza mashrikiano katika maeneo kadhaa

. Kuondoshwa viza za wanafunzi – Urahisi wa kukutana wadau wa afya
. Kuwepo programu mtambuko ya jinsia
. Uaonishaji wa mfumo wa kupata ruhusa za kazi
. Kuwepo Mpango wa Pamoja wa Maendeleo ya Sekta Binafsi
. Usalama Ziwa Victoria

Vikao –Forums

. Majaji Wakuu, Haki za Binaadamu, Tume za Uchaguzi
Wakuu wa Polisi, Wakuu wa Usalama, Wakuu wa Majeshi

Kupata hadhi ya usiklizaji :

EA Business Council, EA Trade Union Council, Kituo cha Katiba,
EA Law Society, EA Book Development, EA Magistrates and Judges

Uanachama wa EAC

• Art 3 Mkataba ni wa nchi
• . Uwezo kukaribisha wanachama wapya
• – Mkataba, Viwango vya Kimataifa,
• Uwezo kuchangia, Ukuruba, Uchumi
• wa soko, Sera linganifu
• . Kwa macho ya EAC: Zanzibar si nchi

ZNZ ndani ya JMT : 1

• . NYONGEZA YA KWANZA
• – Mambo ya Nje: Ni nchi moja kimataifa na ndani ya EAC
• – Uraia : Tafsiri hakuna raia zaidi ya Mtanzania
• – Utumishi wa Jamhuri- Unatenga utumishi wa Zanzibar kuingia kwenye Jumuia

ZNZ ndani ya JMT: 2

• Katiba ya JMT:
• Aya 1: NCHI MOJA
• Aya 2: Eneo la la TB na Zanzibar
• . SURA YA NNE: Na athari kwa EAC
• . Utata wa Mambo ya Muungano
• . Nchi moja chumi mbili; Nchi mbili chumi mbili au nchi au Nchi moja uchumi mmoja?

Zanzibar ni Nchi?

• 1. Kwa sababu ina eneo na mipaka
• 2. Mshirika kamili wa Muungano
• 3. Ina Serikali na taasisi zote za Kiserikali
• 4. Ina watu wanaoishi kwa kudumu
• 5. Ina sera, mipango na mikakati yake
• 6. Ina uchumi unaojitegemea
• 7. Ina haja na matumaini yake wenyewe

TZ na uwakilishaji wa ZNZ

• Mambo ya Muungano: Ridhaa?
• . Mambo yasio Muungano: Haki?
• . Vipaumbele ZNZ vs Vipaumbele TZ
• . Ushirikishwaji wa ZNZ
• . Uzoefu wa uwakilishi wa maslahi ya ZNZ
• . Uchumi wa ZNZ
• . Kuguswa kwa ZNZ picha kubwa ya EAC

Zanzibar ifanye nini? 1

• Mjadala wa nafasi ya Zanzibar uwepo
• . Katiba itoe tamko
• . Ipewe: Mwanachama Mshirikishi
• . Ijiwakilishe Council of Ministers kwa mambo yasio ya Muungano
• . Iwe na Ofisi imara Arusha
• . Kitengo: EAC ndani ya SMZ kiwe imara

Zanzibar ifanye nini? 2

• Kama huwawezi, ungana nao
• . ZNZ iwe na Sera na Mkakati wa EAC
• . Ichague maeneo ya kufanyia kazi
• . Ijipange kuchukua sehemu ya soko
• . Serikali iweke Mfuko
• . EAC iwe somo ngazi ya shahada
• . Mpango wa mpito ni muhimu

Advertisements

2 responses to “Nchi ndani ya kanda

  1. unajua albato mawazo yako mazuri ila yanaisha hapa au munayakusanya nakuyafanyikazi alafu vipi kuhusu watu walokua hawajapata habari mie nahisi muyazungumze kwenye radio na muyandike kwenye vijarida au mungane na mashekh miskitini ili wapate na watu wengine habari

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s