CUF yalalamika

Mkurugenzi wa Haki za binadamu, Uwenezi na Habari, na Mahusiano ya umma; wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe.Salim Rashid Bimani

“CUF yakasirishwa na ubaguliwaji wa Zanzibar katika ziara za Viongozi wa kimataifa na wakuu wa nchi za kigeni kwa Tanzania”

WAKATI viongozi wa kimataifa na wakuu wa nchi wanaokuja kutembelea Tanzania kwa ajili ya kufanya ziara hawapelekwi visiwani Unguja na Pemba, ni kuidharau ama kuishusha hadhi ya Zanzibar kama nchi; na hivyo huathiri muungano.

Hii ilisemwa na Mkurugenzi wa Haki za binadamu, Uwenezi na Habari, na Mahusiano ya umma; wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe.Salim Rashid Bimani katika ziara ya hivi karibuni ya Waziri Mkuu wa India Manmohan Singh.
Kwa mujibu wa Mhe.Bimani, ukweli ni kwamba wakati wa ziara yake ya siku mbili ya Tanzania Waziri Mkuu wa India kamwe hakuweka miguu yake katika visiwa vya Zanzibar, na hivyo amewacha masikitiko makubwa kwa Wazanzibari.

Alisema Zanzibar anafurahia muda mrefu mahusiano yao ya kihistoria na India, badala yake, pia ni sehemu ya muungano ambayo inaunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mnadhimu mkuu wa CUF alisema kwamba wakati Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inashindwa kuviweka visiwa vya Zanzibar katika hadhi ya kutembelewa, ni kiashirio chengine cha kufeli kwa muungano.

Kutokana na yeye, kama nchi huru ya zamani, Zanzibar inapaswa kuwa na hadhi yake maalum hivi sasa. Alisema si haki kuilinganisha na kuvifanya visiwa vya Zanzibar sawa na “mkoa mwingine tu wa Bara, kama Mtwara wa Kilimanjaro.”

“Kutembelea kwake kwa Waziri Mkuu wa India ingeweza kufungua milango kwa Zanzibar,” alisema Bimani, ubaguzi unaofanywa na Wizara ya Mambo ya Nje unavifanya visiwa vya Zanzibar visionekane wakati wa ziara za wakubwa kwa Tanzania.

Aliongeza kuwa mara nne tofauti, Zanzibar iliwekwa nje ya ratiba ya misafara ya wageni wa kimataifa walipoitembelea Tanzania, ukataji wa ziara ya rais wa China, rais wa Uturuki na ile ya rais wa zamani wa Marekani George Bush ni kama uthibitisho wa haya tunayoyasema.

CUF irked by isles omission on state visitors’ itineraries.
WHEN international leaders and heads of state who come to visit Tanzania don’t visit Unguja and Pemba Isles, it belittles the status of Zanzibar as a country and undermines the union.
This was said in a state by Civic United Front’s (CUF) director for publicity and mass communication Salum Bimani in the wake of a recent state visit by Indian Prime Minister Manmohan Singh.
According to Bimani, the fact that during his two-day tour of Tanzania the Indian PM never set his feet in the Isles has left many Zanzibaries saddened.
He said Zanzibar enjoys long historical ties with India and, besides, it is part of the union that from the United Republic of Tanzania.
The CUF chief whip argued that when the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation fails to put the Isles on a visiting dignitary’s itinerary, it is indicative of yet another shortcoming in the union.
According to him, as a former independent country, Zanzibar should be accorded special status. He said it isn’t right to treat the Isles as “just another mainland region, like Mtwara of Kilimanjaro.”
“His (Indian Prime Minister’s) visit could have opened doors for Zanzibar,” said Bimani, accusing the Ministry of Foreign Affairs of relegating the Isles to the sidelines whenever dignitaries visit Tanzania.
He added that on four separate occasions, Zanzibar was left out when a foreign dignitary visited Tanzania, cutting the visit by the Chinese present, the Turkish president and that of the former US president George Bush as cases in poit.

One response to “CUF yalalamika

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s