
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Nungwi, wakionyesha umahiri wao wa kucheza ngoma ya Mchikicho, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Vyumba saba vya madarasa ya shule ya sekondari Nungwi, vilivyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, jana Mei 22, wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali mkoa wa Kaskazini Unguja.
Advertisements