Ahadi za Konde zatekelezwa

Mbunge wa Jimbo la Konde, Khatib Said Haji na Mwakilishi Suleiman Hemed wameanza kutekeleza ahadi zao walizoahidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliomalizika mwaka jana ambapo katika ahadi zao waliwaahidi wananchi wa jimbo hilo iwapo watawachagua watatoa gari kwa ajili ya kutumia wananchi katika shughuli za mbali mbali kitendo ambacho kinatakiwa kuigwa na wabunge na wawakilishi wengine katika majimbo mengine ya Unguja na Pemba.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s