Wera weraaaa

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakisikiliza viongozi wao katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa kwa ajili ya kuwapokea viongozi wa halmashauri kuu ya chama hicho walioteuliwa hivi karibuni baada ya sekreterieti ya chama hicho kuvunjwa na kuundwa upya kwa lengo la kujipanga kiutendaji, mkutano wa hadhara ulifanyika katika viwanja vya Muembe Kisonge baada ya wanachama hao kutoka kuwapokea viongozi hao kuwasili katika bandari ya Malindi Mjini Zanzibar

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s