Bi Rahma hatunae tena

Bi Rahma Mshangama, Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zanzibar ya tarehe 8.4.2011 wakati wa kufunga mafunzo ya kumlinda mtoto kwa maofisa upelelezi wa jeshi la polisi kwenye hoteli ya Zanzibar Beach Resort yaliyoandaliwa na Save the Children Zanzibar. Bi Rahma Mshangama hatunae tena baada ya kufariki hii leo. Mwenyeenzi Mungu amlaze pema peponi

Advertisements

2 responses to “Bi Rahma hatunae tena

  1. INALILAH WAINAILAH RAJUUYUN.

    Amakweli akhera tunakwenda safari isiyo shaka wala kusita sita. Rahma Mohammedi tulikua tukimwita Rahma kitunguu kwa unene . Miaka 15 hivi sijamuona naona amekonda sana. Aliumwa na nini ?. Au ndiyo maradhi yetu ya kawaida.

    majukumu yakuwatilia fitna wapemba wakati wa serikali ya Salimini na kuwafukuzisha kazi hata majirani zake pale Mpirani ama hayo atakwenda kujibu Mbele ya Allah. Mama yake bi Mwajuma Myamwezi ni mmoja wa watu waliokua wanajitia wamepindua, na kuingia katika majumba ya Wahindi na waarabu kuiba vitambaa na dhahabu wakati wa 21964.

    Bi rahma hata kama alikua mchapa kazi lakini alikua jeuri, kibri na ubaguzi wa roho , akimuona Mpemba au mtu mwenye damu za kiarabu anapata basi alikua anatamani akafunge milango ya rizki. Leo katangulia mwenzetu na sisi tunafuatia. Allah amrehemu na amsameh makosa yake.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s