Tunaomba na madawati mama

Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (kulia) akikagua moja ya madarasa ya wanafunzi wa sekondari ya Darajani ambao bado wanakaa chini kutokana na uhaba wa madawati.Vodacom Foundation kupitia mkurugenzi wake huyo akionyesha kuwahurumia, ameahidi kuwapatia madawati wanafunzi hao katika muda si mrefu

Advertisements

One response to “Tunaomba na madawati mama

  1. VODACOM ndio inunuwe madawati ya watoto wa skuli tena darajani kabisa kilo mita ngapi kutoka darajani mpaka ikulu na hawana madawati je hao waliyukowa mashamba kweli kunamtu anyetaja kweli hao wanafunzi wa mashambani munaipeleka wapi ZANZIBAR VIONGOZI WETU??????

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s