Tunataka muungano wa kuheshimiana

Naibu Katibu Mkuu Baraza la Wanawake Taifa Chama Cha Demokrasia Makini (CHADEMA) Udith Theophil Mchati akizungumza katika mkutano huo uliofanyika Kibanda Maiti kwamba wazanzibari wamechoka kuburuzwa na watanganyika na atasimama kidete kuitetea Zanzibar kwa niaba ya wanawake wenzake na kuitaka serikali kuwepo muungano wa kuheshimiana huku akisema mswaada huo lengo lake ni kuwasambaratisha wazanzibari kwa niaba ya wanawake hatokubali kuona mswaada huo unapita kwa kuwa watanganyika wamezidi kuwadharau wazanzibari

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s