Chadema Oyeeee

Mbunge wa Chadema Zanzibar, Mwanamrisho Taratibu Abama akiwasalimia wananchi katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na Chama Cha Demokrasia Makini (CHADEMA) uliofanyika katika uwanja wa Kibanda Maiti ambapo alisema kamwe wazanzibari wasikubali kuburuzwa na akaahidi kwamba yeye akishirikiana na wabunge wenzake watahakikisa wanawatetea wazanzibari kule Bungeni

Advertisements

2 responses to “Chadema Oyeeee

  1. Mimi hawa Chadema hata siwajuwi msomamo wao? ndio wanataka Serikali ya Shirikisho na Tanzania iwe na State kama vile USA ..Huu ndio Muungano wanaoutaka au vipi? naomba wanaojua msimamo wa Chadema watwambie, kwani CUF wamesema wanataka serikali kama ile ya USA with State na sderikali ya Moja ambyo itakuwa inacatrol hizo state zote. Hapo ndipo niliona CUF ni wapumbavu kabisa na ni kuiyuza Zanzibar kwa bei rahisi.

    Lakini nilivosungumza na mtu mmoja wa CUF alisema Mswada ule ulifanywa na CUF wa Tanganyika kama kawaida yao. Yalioko CCM na CUF ni hayo hayo. CCM wamekaa na kufanya Rasimu yao ya mabadiliko ya Katiba na wamemaliza wamewaletea wazanzibari wa Ijadili.

    Wazanzibari wa leo sio wale wa 1964 watajadilije kitu bila yakushirikishwa?.
    Sasa muungano kwa sisi wazanzibari hatuutaki bali ndio ikibidi hatuna la ku´fanya. kuhusu heshima wazanzibari wanawaheshimu wabara lakini wabara ndio kejeli zao zimekuwa kubwa juu ya zanzibar.

  2. Mwanamrisho usiwaongopee wa znz wenzako , wewe na Raya mmewekwa CHADEMA KAMA mawe kwa kuwa huko tulikosa uwakilishi ! Acha ububusa huu sio wakati wa kudanganya wenzako kama ilivyokuwa 1964 ! Chadema wakishatimiza malengo yao , gat no use with u guys ! THIS IS CHADEMA , CHAMA CHA WATAKATIFU SIO VIREMBA!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s