Wabunge daini talaka

Wananchi katika mkutano wa kukusanya maoni yao wakiwa wamekamata mabango yalioandikwa kwamba wabunge warudi kwao na wadai talaka

Advertisements

One response to “Wabunge daini talaka

  1. WANATULETEYA SHEREHE ZA MUUNGANO ZNZ nini cha kusherehekeya watu wa znz kwa muungano feki maji hakuna,umeme hakuna,vyakula bei juu mpaka masikini hawezi kununuwa,mishahara wanapandishana wenyewe kwa wenyewe,barabara hakuna,hospitali hakuna ,madawa hakuna,vijana wote wamepewa unga (drug)ili wasijali kitu wawe kama mazebwe tu,wanafunzi hawana hata viatu,maskuli hakuna hata madeski ya kukaliya,umasikini umengia vibaya sana znz na unaendeleya.haya faida za muungano ni hizi,mabar,magesti house,majambazi,wazi,malaya wanaojiuza miliyao kwa pesa,rushwa,majeshi watu wa bara polisi watu wa bara,majishi kutiya watoto wa kike wa kizanzibar mimba na kuwawacha na watoto wa haramu na kupinga watu ovyoo,polisi wanawajuwa wanaleta unga znz (drugs)lakini hawawagusi kazi zote wanapewa watu wa bara nawazanzibar wamesoma lakini hawapewi kazi heshima na ustarabu wa watu wa zanzibar umepoteya na kuletewa mila za kishenzi kama masai kutembeya uchi stown town na kutaja historia ya uwongo kuwa wazanzibar tulikuwa( slaiver) watumwa TRA kuchukuwa kipato chote cha watu wa zanzibar na kukipeleka bara na huku znz ikiendeleya kulia njaa mjini na mashambani,maofisi kuchaka,majumba ya kale kuzwa bila ya mpango maluum,watu kuthulumiwa arithi zao na mengine mengi hizo ndizo faida za MUUNGANO NA SS UNALETWA ZNZ WATU WASHEREHEKE HAYO MAMBO JE WAZANZIBAR KWELI TUWAJINGA KIASI HICHI????????

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s