
Mchungaji wa Kanisa la Anglikan,Baba Nicolas Michael akichangia katika kongamano la utoaji wa maoni ju ya uundwaji wa katiba mpya ya Tanzania ambapo alisema maoni makali ya wazanzibari yanatokana na viongozi kutosikiliza na kuyachukulia hatua hivyo hivyo wananchi wana maumivu katika nafasi zao lakini akiwataka wazanzibari kushikamana na kuwa na moyo wa subira kwa kuwa hata ndoa inahitaji uvumilivu ili iweze kudumu
Advertisements