Tomechoka kuonewa

Mzee huyu ambaye ni miongoni mwa wananchi waliochangia katika mjadala wa kukusanya maoni juu ya uundwaji wa kamisheni ya ukusanyaji maoni ya katiba mpya ya Tanzania akilia kwa uchungu akisema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikiionea Zanzibar kwa miaka kadhaa bila ya kuw ana huruma jambo ambalo wazanzibari wanaishi kama mayatima katika nchi yao kutokana na maonevu wayapatayo ambapo aliangua kilio katika ukumbi huo wakati akitoa maoni yake

Advertisements

One response to “Tomechoka kuonewa

  1. KWELI NI MAYATIMA MZEE KARUME MAREHEMU NDIO BABA WA ZNZ NA YEYE ASHAKUFA ss waliyobaki wanatunyanyasa maana wanajuwa baba yetu ashakufa sio MZEE KARUME ALIMUAMBIYA NYERERE muungano mwisho CHUMBE pia alimuambiya MUUNGANO NI KAMA KOTI LIKINIBANA NITALIVUWA kwanini akasema hivyo anajuwa kuwa haya yatakuja kutokeya na ndio maana hakusaini makaratasi ya MUUNGANO ss yeye ashakufa JE HAWO VIONGOZI WALIYUKUWA HAI HAWAWEZI KUSEMA KAMA ALIVYOSEMA MZEE KARUME KAMA HAWAWEZI BASI SI VIONGOZI WAJEUZULU TUCHANGUWE VIONGOZI WAPYA WATAKAO WEZA KUSEMA KAMA ALIVYOSEMA MZEE KARUME MUNGANO NI KOTI LIKITUBANA TUNALIVUWA NALISHATUBANA SS KWANINI HATULIVUWI NDIO NIKASEMA VIONGOZI WA LEO HAWAWEZI KUSEMA KAMA HAWAWEZI WAJIUZULU TUCHAGUWE WATAKAO WEZA KUSEMA KBALA YA MZEE HUYU KULI WANGAPI WASHALIYA NA SS HAWAKO TENA DUNIANI WANGAPI WANAENDELEYA KULIA MPAKA LINI MAMBO HAYA????????

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s