Hatutaki Muungano

Wananchi mbali mbali waliohamsika baada ya kiongozi wa jumuiya ya maimamu zanzibar Sheikh Farid Hadi Ahmed kutamka kwamba mswaada huo haufai na unapaswa kuchanwa ambapo yeye alizna kuuchana na wengine kufuatia kuuchana chana na kutupa chini katika ukumbi wa skuli ya Haile Sellaise leo mchana

Advertisements

2 responses to “Hatutaki Muungano

  1. WASWAHILI WANASEMA UKITAKA UBAYA NA MTU MDAI CHAKO ni kweli haya maana hata GADDAFI LIBYA watu wake walivyo dai haki zao na kuwa hawamtaki tena alisema hawa wote wamakula (drugs)ss watu wa znz wanada haki yao na hawataki tena muunganoviongozi wetu wenyewe tuliyo wachanguwa kwa kura zetu wanatuita WAHUNI ila wakati umefika kama ni wahuni kwa kudai haki ya nchi yetu ambayo umechukuliwa na watu wengine na kama wako wazanzibar wanaonufaika na muungano basi ni wachahe na hao wanakula uluwa wao ndio maana wanatuita ss wazanzibar tuliyo wengi WAHUNI maana wanajuwa uluwa unataka kuwatoka mungu ibariki znz tutaendeleya kudai haki yetu mpaka znz ijitawale yenyewe sio amri kutoka DODOMA HAKUNA HAKUNA HAKUNA WAZANZIBAR WENYEWE NDIO WENYE AMRI NA ZANZIBAR.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s