Msiwe na jazba

Waziri wa Afrika Mashariki Samweli Sitta kwa niaba ya waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitoa muhtasari wa mswaada wa kuundwa kamisheni ya kukusanya maoni kuhusu kutungwa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo amesema mswaada wa katiba utachukua muda wa miaka mitatu lakini hivi sasa ni kinachofanyika ni kukusanya maoni katika maeneo mbali mbali ya Tanzania lakini aliwaomba wazanzibari wasiwe na jazba katika suala hilo la utoaji maoni kwani hata yeye hafurahii suala hilo la Muungano unavyoendeshwa.

Advertisements

One response to “Msiwe na jazba

  1. SASA KAMA HUFURAHI USIJE ZANZIBAR NAKUTUAMBIYA TUSIWE NA JAZBA WW NENDA HUKU HUKO BARA KAWEKE SAWA HUKU BARA KWENZA WAWE NA KATIBA YAO KISHA NA SS TUTAKUWA NA KATIBA YETU KISHA NDIO TUJADILIYANE KUHUSU KATIBA YA MUUNGANO SS NI ZANZIBAR KILA MOJA ANAJUWA TANGANYIKA IKO WAPI SAMWELI SITTA????????

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s