Taka hivi ni hatari

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ALI IDDI AKIANGALIA MOJA YA CHEMBA INAYOTOLEA MAJI TAKA YANAYOENDEA MAHARINI WAKATI ALIPOFANYA ZIARA FUPI KATIKA UFUKWE WA PWANI YA KILIMANI KATIKA ZIARA HIYO IMEBAINIKA KUZIBA KWA CHEMBA HIZI KUTOKANA NA TAKATAKA ZINAZO TUPWA OVYO ZINASABABISHA MAFURIKO YA MAJI TAKA NA MVUA KWA MITAA YA KILIMANI

Advertisements

One response to “Taka hivi ni hatari

  1. HIYO YA KUKUSANYA TAKA NI KAZI YA MANSPA NA KUHAKIKISHA MJI UKO SAFI NA SALAMA TAKA HAZITUPWI OVYO OVYO ILA HAO MANSPA HAWAFANYI KAZI YAO WANAYOTAKIWA KUFANYA NA KUJINGIZA KTK MALUMBANO YA KUBOMOWA MAKONTENA YA MASIKINI WANAO JITAFUTIYA RIZI KWA M/MUNGU WANASEMA YANALETA UCHAFU SS MBONA CHEMBA ZINAZIBA AU HUKO CHINI PIA KUMEJENGWA MAKOTENA SS YANAZUI MAJI KWENDA?? WACHENI UPUMBAVU WA KUNYANYASA MASIKINI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s