Save the Children

Washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo maafisa wa upelelezi wa jeshi la polisi hapa Zanzibar juu ya namna ya kumlinda mtoto wakimsikiliza Mkufunzi Bi Gigi M Scoles kutoka Idara ya sheria ya Marekani akitoa mafunzo hayo.

Leave a comment