Haki sawa kwa naaaannnni?

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad akiwasalimia wanachama wa chama hicho jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibanda Maiti ambapo alipanda jukwaani na kuongea na wanachama hao kwa kuwaelezea juu ya safari yake kwa ufupi na baadae kushuka jukwaani na kwenda nyumbani kwa kupumzika kutokana na hali yake na kuwaacha wengine kuendelea na mkutano huo ambao ulihutubiwa na mgeni rasmi ambaye ni mwneyekiti wa chama hicho, Professa Ibrahim Haroun Lipumba

Advertisements

One response to “Haki sawa kwa naaaannnni?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s