Tutaleta mageuzi kupitia asasi

ANGOZA kwa kushirikiana na PASCO inatarajia kuendesha mdahalo wa kitaifa kufuatiwa na maonesho ya asasi za kiraia kwa wajumbe wa baraza a wawakilishi hapo MachI 27 ambapo kutafanyika mdahalo wa kitaifa katika ukumbi wa baraza la wawakilishi saa 2:00 asubuhi na 28 na 29 kutakuwa na maonesho katika viwanja hivyo hivyo vya baraza la wawakilishi Chukwani kuanzia saa 3:00 asubuhi kwa lengo la kuonesha kazi wafanyazo asasi za kiraia lakini pia kuwakutanisha wananchi na wawakilishi wao na kutengeneza mtandao kati ya asasi na asasi kuanzia ngazi ya chini hadi juu

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s