Ulale salama Kijoti

Muimbaji aliyeinukia hivi karibuni na kupata umaarufu mkubwa, Issa Kijoti (pichani) ni miongoni mwa waliofariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro,picha hiyo ni wakati wa uhai wake alikuwa akijulikana kwa nyimbo yake iliyompatia umaarufu mkubwa ni ‘Msitujadili’ amezikwa pamoja na wenzake ambao nao waliofariki dunia katika ajali hiyo ni Sheba Juma, Omary Hashim, Ramadhan Kinyoya, Omary Tall na Haji Babu wengine Husna Mapande, Tizo Mgunda, Hamisa Mipango na Mhasibu wa bendi hiyo Nassor Madenge.

Advertisements

One response to “Ulale salama Kijoti

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s