Ukaidi wa Dereva ndio huo

Muimbaji maarufu wa taarab Zanzibar, Mwanahawa Ali ni miongoni mwa waimbaji waliopata ajali mbaya ya gari iliyowapoteza wasanii wengine 13 hapo jana katika barabara ya Morogoro baada ya gari waliyokuwa wamepanda kugongana na lori na kusababisha majeruhi kadhaa. Hivi sasa Mwanahawa anapata matibabu katika hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam

Advertisements

One response to “Ukaidi wa Dereva ndio huo

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s