Tunapenda dhumna

Mchezo wa zumna ni maarufu hapa Zanzibar hasa katika maeneo ya Mji Mkongwe ambapo baadhi ya wananchi wengi ifikapo jioni hujumuika kwa pamoja na kukaa katika sehemu maalumu na kwanza kunywa kahawa na kupiga mazungumzo na baadae huchezwa mchezo huo lakini katika baraza hizo hutumiwa pia kama ni chanzo cha habari ambapo watu waliosikiliza radio au kutizama tevisheni au kusoma magazeti huwahadithia wenziwao habari hizo na hivyo mabaraza huwa ni sehemu ya upatikanaji wa habari yaani maarufu 'Radio Vifua'

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s