Karibu tena nyumbani baba

Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad atarejea nchini siku ya Ijumaa machi 25 mwaka huu saa 10:30 alaasiri na atakapofika atafanya mazungumzo na waandishi wa habari katika chumba cha VIP huko uwanja wa ndege Zanzibar, Maalim Seif alikuwa katika ziara ya kiserikali huko Uholanzi, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Oman na mwisho kumalizia safari yake nchini India kukaguliwa afya yake

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s